Kutoka Kwale, hadi Kampala
Mwendo wa joka siyo haraka
Kutoka Kisumu hadi Kisauni
Joka linanyonya nyinyi wahuni
Linatambaa
(Repeat)
Linatambaa hili gari la moshi
Linasafisha Reserve, linakausha ardhi
Linawabwaga wahuni
Huku Nairobi, kambi ya utumwa.
Joka, Joka!
Joka, Joka!
Joka, Joka!
Linatambaa




