Jana ni jana
Juzi ni juzi
Mtondo ni jana yake
Mtondogoo ni historia
Umerauka asubuhi ya leo
Wacha kujipinga na masaibu, masaibu, masaibu ya jana.
(Chorus)
Then you wake up in the morning
The matatus blow their horns
And you ride the bumpy road
No it shouldn’t mean a thing x2
Wajitoa rangi
Wajihangaisha
Amri ya Mungu ni ujipende we wajilaumu
Je umesahau neema ni ya kila siku
Jua imepambazuka,imepambazuka, imepambazuka upya.
(Chorus)
Ah! Jana ni jana
Juzi ni juzi
Mtondo ni jana yake
Mtondogoo ni historia
Mtondogoo ni historia
Rekebisha itakoyaweza kurekebishwa
Wacha kupoteza mda na majonzi
Wakati hauwezi kurudi nyuma
Maji yakimwagika, yakimwagika,
Yakimwagika hayazoleki
(Chorus)




